Yanga kuanza kujifua kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jun 2018
Yanga kuanza kujifua kesho
Kikosi cha Yanga kesho Jumanne, Juni 26 2018 kinatarajiwa kuanza maandalizi ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia utakaopigwa nchini Kenya Julai 18, 2018.

Awali ilitaarifiwa kuwa Yanga ingeanza mazoezi leo lakini haikuwa hivyo. Uongozi wa timu hiyo umethibitisha kuwa kikosi cha timu hiyo kitaanza kujifua kesho.

Yanga imekusudia kutumia maandalizi hayo kuwajaribu baadhi ya wachezaji wa Kimataifa ambao tayari wako nchini wakisubiri kusajiliwa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’