Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mlinda lango mahiri wa Yanga Benno Kakolanya.
Tunatambua msimu uliomalizika haukuwa mzuri kwake kutokana na majeraha ya goti yaliyomuweka nje kwa muda mrefu.

Bila shaka atandelea kubaki Yanga licha ya kuwa ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao imemalizika, hakuna mwenye shaka na uwezo wake.
HAPPy BIRTHDAY BENNO

ADVERTISE HERE