Kakolanya kupewa mkataba mpya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jun 2018
Kakolanya kupewa mkataba mpya Yanga
Mlinda lango wa Yanga Benno Kakolanya yuko mbioni kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria wa ligi ya Tanzania Bara.

Kakolanya amethibitisha kwamba mazungumzo ya kuongeza mkataba na klabu ya Yanga yamefikia pazuri hivyo ataendelea kubaki Jangwani.

Naye Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika amethibitisha kuwa Yanga bado ina mpango na Kakolanya.

Nyika amesema Kakolanya alikuwa nje kwa muda mrefu kutokana na majeraha ya goti na amekuwa akitibiwa na klabu ya Yanga.

Uamuzi huo wa Yanga kuhuisha mkataba wa Kakolanya huenda ukawa umefuta mpango wa timu hiyo kusajili mlinda lango mwingine.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’