Michuano ya kusaka bingwa wa Afrika Mashariki na Kati inayotambulika kama CECAFA Kagame Cup inaanza kesho Ijumaa jijini Dar es salaam.
Michuano hiyo inashirikisha vilabu 12 kutoka Mataifa ya Tanzania Bara, Zanzibar, Uganda, Kenya, Sudani Kusini, Somalia, Burundi na Rwanda.
Baada ya Yanga na St George kujitoa, vilabu vya Singida United (Tanzania) na APR (Rwanda) viliongezwa huku Vipers FC ikishiriki kama mwakilishi kutoka Uganda.
Michezo yote ya michuano hiyo itakayopigwa kwenye viwanja vya Taifa na Chamazi itarushwa mbashara na kituo cha televisheni cha Azam ambao ni moja wa wadhamini.
Ratiba

ADVERTISE HERE