Mshambuliaji Marcellin Koukpo aliyetua Yanga wiki tatu zilizopita kutoka klabu ya Buffles du Borgou ya Benin ameondoka nchini.
Koukpo alikuwa kwenye kikosi cha Yanga tangu Jumatatu akiendelea na majaribio. Imebainika kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera alizuia usajili wake mpaka amjaribu.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa Zahera hakuridhishwa na uwezo wake hivyo kutokubaliana na mahitaji ya mshahara aliotaka alipwe.
Uongozi wa Yanga bado haujatoa taarifa rasmi juu ya kuondoka kwa mshambuliaji huyo waliyemleta nchini wiki tatu zilizopita.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten hakupatikana kuzungumzia juu ya ukweli wa taarifa za kuondoka kwa Mbenin huyo.

ADVERTISE HERE