Gadiel Michael asaini miaka miwili Yanga

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
6 Aug 2017
Gadiel Michael asaini miaka miwili Yanga
Yanga imekamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto wa Azam FC Gadiel Michael leo na amesaini mkataba wa miaka miwili.

Kulikuwa na utata juu ya usajili wa mchezaji huyo na nusura Yanga iachane na mpango wa kumsajili wakati huu kusubiri hadi mkataba wake utakapomalizika mwezi Disemba.

Awali Azam ilihitaji dau kubwa la usajili, lakini sasa usajili wake umekamilika baada ya kurejeshwa kwa mazungumzo baina ya Yanga na Azam FC.

Ikumbukwe ni Azam waliokuwa wanapata hasara kwenye 'dili' hili kwani Yanga ingemchukua BURE Gadiel mwezi wa 12.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’