Zahera anataka mshambuliaji mwingine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jul 2018
Zahera anataka mshambuliaji mwingine
Licha ya kukamilisha usajili ya Mcongo Heritier Makambo huku akiendelea kumjaribu Mnigeria Mnigeria Emeka Emerun, kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ameeleza kusaka mshambuliaji mwingine.

Zahera amesema amekamilisha kuwafanyia majaribio wachezaji wa kigeni ambapo ni Makambo pekee aliyefanikiwa kusajiliwa.

Zahera amesema hakuridhishwa na uwezo wa wengi waliofika kujaribiwa na amesisitiza ili aweze kumsajili mchezaji wa Kimataifa lazima awe amekamilika.

Yanga inajifua kwenye uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia utakaopigwa Julai 18, Nairobi Kenya.

Kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria Tanzania Bara kinatarajiwa kwenda mkoani Arusha kuweka kambi ya siku chache kabla ya kwenda Kenya
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
9h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
13h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
14h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
14h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’