Tunasajili kwa ajili ya mashindano ya CAF na msimu ujao - Nyika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jul 2018
Tunasajili kwa ajili ya mashindano ya CAF na msimu ujao - Nyika
Licha ya kuwa Yanga tayari imetambulisha wachezaji watatu ambao wameongezwa katika kikosi chake kwa ajili ya michuano ya kombe la Shirikisho, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya timu hiyo Hussein Nyika amesema bado dirisha la CAF liko wazi mpaka Agosti 04, 2018.

Nyika amesema wakati huu Yanga inaendelea kufanya usajiri kwa ajili ya msimu ujao na michuano ya kombe la Shirikisho.

Nyika ambaye jana ametambulisha usajili wa kiungo Mohammed Issa 'Banka', amesema zoezi la usajili linafanywa kwa mujibu ya mapendekezo ya kocha Mwinyi Zahera.

Amesema utaratibu wa usajili waliokuja nao sasa unalazimu wachezaji wa kigeni wanaotaka kuitumikia Yanga wafanyiwe majaribio huku zoezi hilo likiondolewa kwa wachezaji wa ndani.

Mpaka sasa Yanga imemsajili mchezaji mmoja wa kigeni, Heririer Makambo kutoka DR Congo huku wengine wawili wakiendelea na majaribio.

Nyika amesema wachezaji nane wa kigeni walirudishwa baada ya kushindwa majaribio hayo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’