Ratiba VPL msimu wa 2018/19 hadharani wakati wowote

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jul 2018
Ratiba VPL msimu wa 2018/19 hadharani wakati wowote
Ratiba ya ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2018/19 inatarajiwa kutolewa wakati wowote na shirikisho la soka nchini (TFF) baada kukamilika.

Mtendanji mkuu wa Bodi ya ligi Boniface Wambura amesema zoezi la upangaji wa ratiba hiyo tayari limekamilika na imekabidhiwa kwa TFF.

Kutakuwa na ongezeko la michezo kwa kila timu kutoka michezo 30 mpaka 38 kufuatia kuongezeka kwa timu zitakazoshiriki ligi hiyo.

Timu sita zilipanda daraja kutoka ligi daraja la kwanza huku timu mbili pekee zikiteremka daraja hivyo kufanya msimu ujao kuwa na jumla ya timu 20.

Timu zilizopanda daraja ni Alliance, African Lyon, Biashara, JKT Tanzania, Coastal Union na KMC.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’