Yanga kamili kuikabili Gor Mahia Jumatano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jul 2018
Yanga kamili kuikabili Gor Mahia Jumatano
Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa tatu wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia.

Yanga ilianza mazoezi bila ya wachezaji wake waandamizi ambao walikuwa hawajakamilishiwa masuala ya mikataba.

Habari njema ni kwamba wachezaji wote (isipokuwa Chirwa) walioitumikia Yanga msimu uliopita tayari wamerejea kikosini wakiendelea na mazoezi kuelekea mchezo huo utakaopigwa nchini Kenya, Jumatano ijayo.

Gor Mahia bado iko nchini ambapo kesho itacheza na JKU kusaka mshindi wa tatu michuano ya kombe la Kagame.

Jana ilichapwa mabao 2-0 na Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali.

Yanga ina nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye mchezo huo wa ugenini. Matokeo ya ushindi au hata sare yataweka hai matumaini ya kutinga robo fainali.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’