Fei Toto na Jaffar Mohammed watambulishwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jul 2018
Fei Toto na Jaffar Mohammed watambulishwa Yanga
Ndio! Yanga imekamilisha usajili wa kiungo wa JKU Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' ambaye amesaini mkataba wa miaka mitatu.

Pia Yanga imemsajili Jaffar Mohammed kutoka klabu ya Majimaji akiwa amesaini mkataba wa miaka miwili.

Wachezaji hao wametambulishwa leo Alhamisi, Julai 12 2018 na Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Yanga, Hussein Nyika.



Mapema leo Fei Toto alitambulishwa kusajiliwa na Singida United lakini inaelezwa usajili huo ulikuwa na matatizo.

Picha na video za utambulisho huo zilipigwa mwezi uliopita.





ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’