Mchezo wa kombe la shirikisho kati ya Gor Mahia FC ya Kenya dhidi ya Yanga ya Tanzania utarushwa moja kwa moja na luninga ya Azam kupitia Chaneli ya ZBC2 siku ya Jumatano kuanzia saa moja kamili jioni.
Kwa wale wenye visimbuzi vya DSTV, mchezo huo pia utakuwa mbashara kupitia SS9.
Yanga tayari imewasili jijini Nairobi kujiwinda na mchezo huo ambao inahitaji kuibuka na ushindi japo matokeo ya sare pia hayatazima ndoto ya kutinga robo fainali

ADVERTISE HERE