Jana kikosi cha Yanga kilitua salama nchini Kenya kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho raundi ya tatu ya kundi D dhidi ya Gor Mahia.
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Moi Kasarani jijini Nairobi.
Yanga haitakuwa 'yatima' nchini Kenya kwani tayari basi aina ya Costa iliyobeba mashabiki kutoka jijini Dar es salaam limefika salama Nairobi.
Mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa moja jioni, pia utaonyeshwa mbashara na ZBC2 kupitia kisimbuzi cha Azam TV na SS9 ya DSTV

ADVERTISE HERE