Jana mjumbe wa Kamati ya Mashindano Khalfan Khamis alitangaza kujizulu nafasi yake akitaja sababu kadhaa zilizomfanya ajiondoe Yanga.
Khalfan amesema hafurahishwi na mwenendo wa sasa wa Yanga na anaamini, wao viongozi wameshindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo hivyo ni vyema wakawapisha wengine watakaokuja na mawazo tofauti.
Aidha Khalfan amemshushia lawama Makamu Mwenyekiti Clement Sanga kuwa ameshindwa kuitendea haki nafasi yake kwani Yanga inazidi kupoteza mwelekeo chini ya uongozi wake.
Amesema Sanga akiwa kiongozi wa Kamati zote ameshindwa kuja na mpango mkakati wa kusaidia kutafuta vyanzo vya mapato na pia amekuwa akifanya kazi kwa usiri mkubwa.
Amesema uongozi wa sasa umeshindwa kuisimamia Yanga na yeye ameona ni vyema akajiondoa kwa kuwa haoni sababu ya kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ulioshindwa.

ADVERTISE HERE