Jana beki wa kushoto wa Yanga Gadiel Michael alifunga ndoa na mpenzi wake Lovenes Haruna.
Wawili hao walifunga ndoa jijini Tanga Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Kana, Tanga mjini.
Hongera Gadiel kwa kuamua kuachana na ukapera.

ADVERTISE HERE