Jana Rais wa Singida United Mwigulu Nchemba alifafanua makubaliano yaliyofikiwa baina ya timu yake na Yanga juu ya utata wa usajili wa Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto'.
Mwigulu ambaye pia ni Mwanachama wa klabu ya Yanga ndiye aliyeruhusu kiungo huyo aliyetoka JKU asajiliwe na Yanga licha ya kuwa tayari alikuwa ameshasaini mkataba wa awali kuitumikia Singida United.
Mwigulu pia amesema pesa zilizotolewa na Singida United kwa ajili ya kumsajili Fei Toto hazipaswi kurudishwa na Yanga kwa kuwa huo ni sehemu ya mchango wake akiwa mdau wa Yanga.

ADVERTISE HERE