Tarimba akabidhiwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jul 2018
Tarimba akabidhiwa Yanga
Kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga, Bodi ya wadhamini ya timu hiyo imemrejesha Mwenyekiti wa Kamati ya Mpito, Abbas Tarimba kuiongoza Yanga kabla ya kuitishwa kwa uchaguzi wa kujaza nafasi zilizowazi.

Tarimba atashirikiana na Kamati yake kama ilivyoamuliwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama uliofanyika jijini Dar es alaam, Juni 10 2018.

Tarimba na jopo lake wanakazi ya kukamilisha zoezi la usajili haraka sasa zikiwa zimebaki siku mbili pekee.

Mashabiki na wanachama wengi wa Yanga wana imani na Tarimba, Rais wa zamani wa klabu hiyo ambaye alikuwa miongoni mwa viongozi wa mwanzo Yanga kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji mwishoni mwa miaka ya 90

Hivi karibuni Tarimba alifanikisha kuhuishwa mkataba wa Kelvin Yondani na sasa akiwa mbioni kumalizana na Hassani Kessy.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’