Uongozi wa klabu ya Yanga umethiboitisha kuwa mshambuliaji Matheo Antony atakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoivaa Gor Mahia kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho Jumapili ijayo.
Mchezo huo utapigwa Julai 29 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga mapema leo, majina ya Matheo na Deus Kaseke tayari yamethibitishwa na CAF kwa ajili ya mchezo huo.
Wakati bado hatma ya Ngassa ambaye naye jina lake liliwasilishwa CAF, inaelezwa Mcongo Heritier Makambo bado hajapata vibali vitakavyomuwezesha kuitumikia Yanga.

ADVERTISE HERE