Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia.
Mchezo huo utapigwa katika uwanja huo Jumapili ijayo, Julai 29 2018 ukitarajiwa kuanza saa moja jioni.
Mchezo huo utapigwa katika uwanja huo Jumapili ijayo, Julai 29 2018 ukitarajiwa kuanza saa moja jioni.
ADVERTISE HERE