Nadir Haroub Meneja mpya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2018
Nadir Haroub Meneja mpya Yanga
Aliyekuwa mchezaji mkongwe zaidi kwenye kikosi cha Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' ameteuliwa kuwa Menaja wa mabingwa hao wa kihistoria Tanzania Bara.

Hafidh Saleh aliyekuwa anakishikilia cheo hicho amebadilishiwa majukumu na sasa ni Mratibu.

Nadir ameitumikia Yanga kwa miaka 12, ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi ya kucheza Jangwani kwa muda mrefu zaidi akifuatiwa na Fred Mbuna aliyedumu Yanga kwa miaka 11.

Nadir amekuwa nahodha wa kikosi cha Yanga kwa zaidi ya miaka minne. Sasa ataendea na majukumu yake lakini akiwa kiongozi nje ya uwanja.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
14h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
18h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
19h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’