Zahera kuiongoza Yanga kwa mara ya kwanza leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jul 2018
Zahera kuiongoza Yanga kwa mara ya kwanza leo
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera leo atakuwa kwenye benchi kuwaongoza vijana wake kwa mara ya kwanza baada ya kupata vibali.

Tangu ajiunge na mabingwa hao wa kihistoria Tanzania Bara, Zahera amekuwa akiishuhudia michezo ya Yanga akiwa jukwaani kutokana na kukosa vibali.

Leo saa moja jioni Yanga itashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Gor Mahia katika mchezo wa kombe la Shirikisho, mzunguuko wa nne.

Ushindi ndio matokeo muhimu zaidi kwa Yanga ili kuwa na nafasi ya kutinga robo fainali ya michuano hiyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’