Kwenye mitandao ya kijamii kumejitokeza mtu anayetumia jina la Christopher Paul kuwazushia vifo wachezaji wa Yanga kwa nyakati tofauti.
Baada ya kuwazushia Hassani Kessy na Mrisho Ngassa, mtu huyo leo amesambaza taarifa nyingine za uzushi safari hii akimzushia kifo kiungo Thabani Kamusoko.
Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa tayari umemripoti mtu huyo kwenye vyombo husika ili aweze kuchukuliwa hatua.
Tabia hii inapaswa kukomeshwa kwani imekuwa ikizua taharuki kwa ndugu na wanafamilia wanaolengwa katika uzushi huo.

ADVERTISE HERE