Beki Hassani Kessy amesajiliwa na Nkana FC inayoshiriki ligi kuu ya nchini Zambia, akisaini mkataba wa miaka miwili mapema leo.
Kessy amekuwa nchini Zambia tangu wiki iliyopita kukamilisha usajili huyo baada ya kushindwa kufikia muafaka na uongozi wa Yanga juu ya kusaini mkataba mpya.
Kessy tayari ameanza kujinoa na kikosi cha Nkana FC akiwa amekabidhiwa jezi namba 22.

ADVERTISE HERE