Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom haitakuwa miongoni mwa wadhamini wa ligi kuu ya Tanzania Bara msimu ujao imefahamika.
TFF kupitia Bodi ya Ligi Kuu imeendelea kukaribisha wadhamini wengine ikiwa tayari imesaini mkataba wa udhamini na Benki ya Biashara ya Kenya (KCB) wenye thamani ya Mil 420.
Kampuni ya Vodacom imekuwa mdhamini Mkuu wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwa zaidi ya miaka mitano.
Kuongezeka kwa idadi ya timu inatajwa kuwa moja ya sababu iliyopelekea kampuni ya Vodacom kujitoa kudhamini ligi.

ADVERTISE HERE