Kakolanya arejea kikosini, Kabwili bado

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2018
Kakolanya arejea kikosini, Kabwili bado
Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Highlands Park mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo wa kumuaga Cannavaro August 12.

Yanga imeendelea kujifua bila mlinda lango wake namba tatu Ramadhani Kabwili ambaye inaelezwa bado ana udhuru.

Hata hivyo Benno Kakolanya aliyekosekana kwa siku kadhaa amerejea kikosini baada ya kumaliza msiba wa kaka yake aliyefariki hivi karibuni.

Kaimu Afisa Habari wa Yanga Godlisten Chicharito amesema kambi mkoani Morogoro inaendelea vizuri na hakuna mchezaji majeruhi
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10m ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’