Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kwamba bado wapo kwenye mazungumzo na kampuni ya Vodacom ili iendelee kudhamini ligi Kuu msimu ujao.
Licha ya kuwa zimebaki wiki mbili kabla ya ligi kuanza, mdhamini pekee anayefahamika mpaka sasa ni Benki ya Biashara ya Kenya (KCB) ambayo imeingia mkataba na TFF wenye thamani ya Mil 420 kudhamini ligi hiyo kwa mwaka mmoja
Licha ya kuzungumza na Vodacom, Karia amesema pia wako kwenye mazungumzo na makampuni mengine na huenda ligi ikadhaminiwa na kampuni zaidi ya mbili.
Awali ilielezwa Kampuni ya Vodacom ilijitoa kuendelea kudhamini ligi kuu ikihofia kuongezeka kwa gharama baada ya timu kuongezwa kutoka 16 hadi 20.

ADVERTISE HERE