Yanga kuandaa matukio zaidi ya kumuaga Cannavaro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Aug 2018
Yanga kuandaa matukio zaidi ya kumuaga Cannavaro
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga Hussein Nyika amesema Yanga itazitumia mechi za ligi itakazocheza mikoani kumuaga mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro'.

Nyika amesema mashabiki wengi wa Yanga wangependa kumshukuru mkongwe huyo aliyeitumikia Yanga kwa muda mrefu zaidi lakini kutokana na kubanwa na ratiba, baada ya tukio maalum la mkoani Morogoro keshokutwa, matukio mengine ya kumuaga yatafanyika kupitia michezo ya ligi.

Aidha kwa mkoa wa Dar es salaam ambao ndio Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Nyika amesema watautumia mchezo dhidi ya USM Alger, August 19 kumuaga mkongwe huyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
9h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
13h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
14h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
14h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’