Kesho Jumapili ndio siku ambayo Yanga itamshukuru na kumuaga mkongwe na nahodha wake wa muda mrefu zaidi Nadir Haroub 'Cannavaro' kwa kucheza na Mawenzi Market kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
Kudhihirisha umuhimu wa tukio hilo, Yanga imetoa jezi maalum ambazo tayari zimeanza kupatikana tangu jana.
Leo jezi hizo zitauzwa nje ya uwanja wa Jamhuri.
Kudhihirisha umuhimu wa tukio hilo, Yanga imetoa jezi maalum ambazo tayari zimeanza kupatikana tangu jana.
Leo jezi hizo zitauzwa nje ya uwanja wa Jamhuri.
ADVERTISE HERE