Makambo asifu ukarimu wa mashabiki Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Aug 2018
Makambo asifu ukarimu wa mashabiki Yanga
Mshambuliaji mpya wa Yanga raia wa Congo Heritier Makambo ameshangazwa na ukarimu ulioonyeshwa na mashabiki wa Yanga jana kwenye Tamasha la kumuaga mkongwe Nadir Haroub lililofanyika mkoani Morogoro.

Makambo aliyefunga bao pekee la Yanga kwenye mchezo dhidi ya Mawenzi Market, amesema alichokishuhudia jana hakuwahi kukiona mahali pengine ne popote.

Aidha Mcongoman huyo amempongeza Nadir kwa utumishi wake wa miaka 12 katika klabu ya Yanga na kumtakia kila la kheri.

"Leo nimeshuhudia ukubwa wa klabu ya Yanga. Nimeshangazwa sana na ukarimu wa mashabiki, sikuwahi kuona jambo la aina hii penginepo," amesema Makambo.

"Tunawashukuru mashabiki kwa kuendelea kutupa moyo. Nenda kapumzike nahodha, umefanya kazi kubwa na hakika unastahili pongezi"

Ujio wa Makambo kwenye kikosi cha Yanga umerejesha matumaini katika mbio za kuwania ubingwa wa ligi kuu msimu ujao.

Licha ya kufunga bao la Yanga, Makambo alionyesha kiwango cha hali ya juu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’