Yanga yabadili ratiba, kurejea Dar kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Aug 2018
Yanga yabadili ratiba, kurejea Dar kesho
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuwasili kesho Jumamosi mchana tayari kwa mchezo wa kombe la Shirikisho mzunguuko wa tano dhidi ya USM Alger utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumapili August 19, 2018 saa moja jioni.

Awali Yanga ilitarajiwa kurejea leo lakini mratibu wa mabingwa hao wa kihistoria Tanzania, Hafidh Saleh amesema leo jioni wamefanya mazoezi mkoani Morogoro na wanatarajiwa kuondoka kesho mchana kurejea jijini Dar es salaam.

USM Alger iliwasili toka jana Alhamisi na kesho inatarajiwa kujifua kwenye uwanja wa Taifa.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema maandalizi ya mchezo huo yamekamilika. Waamuzi watakaochezesha mchezo huo ambao ni raia wa Namibia wameshawasili.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’