Tuendelee kuichangia Yanga yetu

Admin By Admin
β€’
20 Aug 2018
Tuendelee kuichangia Yanga yetu
Wakati huu WanaJangwani tukifurahia kuboreka kwa kikosi chetu kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara, tusiache kuendelea kuichangia timu yetu.

Kwa sasa sote tunafahamu changamoto ya kiuchumi iliyotukumba msimu uliopita ndiyo iliyopelekea timu yetu kushindwa kufanya vizuri.

Ni vyema tuakaendelea kuichangia timu yetu wakati viongozi wakiendelea kukamilisha mchakato wa uchaguzi kisha kujipanga tayari kwa mabadiliko

Pia kurejea kwa Mwenyekiti Yusufu Manji kusitufanye tukaacha kuichangia timu yetu. Tukishirikiana nae itakuwa faida zaidi kwa Yanga.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’