Abdul ashukuru sapoti ya mashabiki Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2018
Abdul ashukuru sapoti ya mashabiki Yanga
Nahodha msaidizi wa kikosi cha Yanga Juma Abdul ameshukuru sapoti iliyoonyeshwa na mashabiki kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger jana na kutaka hali hiyo iendee.

Abdul amewataka WanaYanga kuendelea kuwa wamoja katika kipindi hiki cha mpito akisisitiza kutokata tamaa kwani hali hiyo inawapa wachezaji moyo wa kupambana zaidi.

"Asante sana Mungu kwa kila hatua tunayosonga. Pia asanteni sana mashabiki wetu kwa kuwa pamoja nasi katika kipindi hiki tunachopitia," amesema Abdul;

"Tunachowaomba mashabiki wetu, tusikate tamaa. Umoja na sapoti yenu inatupa faraja wachezaji wenu na kutuweka kwenye ushindani zaidi".(NEVER GIVER UP ALL FANS)
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’