Ligi kuu ya Tanzania Bara inatarajiwa kuanza keshokutwa Jumatano, August 22 kwa michezo sita kupigwa kwenye viwanja mbalimbali.
Mabingwa watetezi wa michuano hiyo, Simba watakuwa uwanja wa Uhuru kuikaribisha Tanzania Prisons huku Coastal Union ikiikaribisha Lipuli FC mkoani Tanga.
Alliance FC na Mbao FC zote kutoka jijini Mwanza zitachuana katika 'derby' litakalopigwa kwenye dimba la CCM Kirumba.
Alhamisi, August 23 michezo minne inatarajiwa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali.
Wakati Yanga ikiwa uwanja wa Uhuru kuikabili Mtibwa Sugar, Azam FC itakuwa Uwanja wa Chamazi ikipepetana na Mbeya City.
JKT Tanzania itachuana na KMC huku Stand United ikiumana na African Lyon.
Ratiba kamili ya raundi ya kwanza
Jumatano, August 22 2018
Simba vs Tanzania Prisons
Ruvu Shooting vs Ndanda
Alliance vs Mbao
Coastal Union vs Lipuli FC
Singida United vs Biashara
Kagera Sugar vs Mwadui FC
Alhamisi, August 23 2018
Stand United vs African Lyon
JKT Tanzania vs KMC
Yanga vs Mtibwa Sugar
Azam FC vs Mbeya City
Baadhi ya mcihezo itaonyeshwa mbashara na Azam TV kupitia chaneli zake za michezo.

ADVERTISE HERE