Jinsi ya kuichangia Yanga kwa mitandao yote

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Dec 2018
Jinsi ya kuichangia Yanga kwa mitandao yote

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amewaasa Mashabiki na Wanachama wa timu hiyo kuichangia ili kuhakikisha inakwenda mkoani Mbeya kwa usafiri wa Ndege.

Utaratibu wa kuichangia Yanga ni uleule wa kupitia SELCOM

Ingia kwenye huduma ya kifedha ya mtandao wako, chagua ukurasa wa Malipo kisha chagua kuingiza Namba ya kampuni 123123 au lipia kupitia SELCOM. Sehemu ya kumbukumbu namba andika 150334. Ingiza kiasi cha fedha unayochangia na kisha kamilisha malipo yako.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’