Yanga inatarajiwa kuondoka kesho Jumatatu kwenda Rwanda kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa kombe la Shirikisho kundi D dhidi ya Rayon Sports.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema msafara wa Yanga utakaoondoka kesho Jumatatu utakuwa na wachezaji 20 na viongozi 10.
Ten amesema timu inakwenda Rwanda ikiwa na matumaini makubwa ya kushinda mchezo huo wa mwisho utakaopigwa Jumatano, August 29 2018 kwenye dimba la Nyamirambo.
"Kikosi kipo katika Hali nzuri, tunaelekea nchini Rwanda
Jumatatu, tumekuwana muendelezo mzuri kwa sasa hilo kwetu
ni jambo zuri, na Tunataka kuendeleza moto wetu," amesema Ten

ADVERTISE HERE