Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa salamu za rambirambi kwa beki Said Juma Makapu aliyefiwa na Mama yake Mzazi Visiwani Zanzibar leo.
Msiba uko Makunduchi na marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho.
Msiba uko Makunduchi na marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho.
ADVERTISE HERE