Ushindi waipeleka Mbao FC kileleni msimamo TPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Aug 2018
Ushindi waipeleka Mbao FC kileleni msimamo TPL
Ushindi wa mabao 2-1 iliyopata Mbao FC ugenini dhidi ya Stand United umeifanya timu hiyo iende kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kukamilika michezo minne ya leo.

Mtibwa Sugar imefanikiwa kuilaza Prisons kwa bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.

Ruvu Shooting imelazimishwa sare ya bao 1-1 na KMC huku JKT Tanzania nayo ikilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Lipuli FC

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’