'Bravoo' Azam Media kwa kuisapoti Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Aug 2018
'Bravoo' Azam Media kwa kuisapoti Yanga
Azam Media imejitolea kutangaza matangazo ya kuichangia klabu ya Yanga bila malipo yoyote ikiwa ni sehemu ya mchango wao katika kuisaidia klabu hiyo kongwe zaidi nchini kufikisha taarifa kwa wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo pia wadau wengine wa soka nchini.

Yanga imejiwekea mpango wa kukusanya si chini ya milioni 3 kwa siku na tayari mpango huo umeanza kutimia kwa jana kukusanya kiwango hicho cha pesa baada ya Azam kuanza kuisaidia klabu hiyo kutangaza.

Angalia Azam TV kupata muongozo sahihi wa kuichangia Yanga ambayo imelenga kukusanya milioni 21 kwa wiki.

Yanga ni sehemu ya kielelezo cha soka cha nchi kwa umri wao, mchango wao kisoka katika miaka 83 waliyonayo hivi sasa.

Ichangie leo ili kufanikisha malengo yake kwa kuiga mfano wa Azam Media na wachangiaji wengine ili kuweka dhana ya wanachama na wadau wandamizi wa soka nchini kuziendesha timu ama vilabu vyao wenyewe.

TAFADHALI SHARE HUU UJUMBE ili watu wengi wapate kuuona na kuchangia kwa kile walichonacho.





ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’