Kikosi cha Yamga leo jioni kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Nyamirambo Rwanda kikijiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Rayon Sports kesho.

Mchezo huo utapigwa katika uwanja huo kesho Jumatano, August 29 2018 ukitarajiwa kuanza saa kumi kamili jioni.

Mchezo huo utapigwa katika uwanja huo kesho Jumatano, August 29 2018 ukitarajiwa kuanza saa kumi kamili jioni.
ADVERTISE HERE