Isingekuwa mvua Rayon wangetutambua - Zahera

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Aug 2018
Isingekuwa mvua Rayon wangetutambua - Zahera
Kocha mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amegoma kumlaumu nahodha wake Kelvin Yondani akisema bao walilofungwa lilitokana na hali mbaya ya mvua.

Zahera amesema Yondani hakuwa na kosa katika kukubali kupitwa na mfungaji wa bao pekee katika mchezo huo.

Amesema mfungaji wa bao hill alinufaika na mvua kubwa iliyokuwa inanyesha kwa mpira kupita katika maji na kumpiga chenga beki wake huyo.

Amesema kama isingekuwa mvua hiyo kubwa hata matokeo ya mchezo huo yangekuwa tofauti kutokana na Rayon haikuwa timu ya kutisha.

Yanga tayari imerejea nchini kujiandaa na michezo ya ligi huku wachezaji walioitwa timu ya Taifa wakielekea kambini moja kwa moja

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’