Kaaya awasilisha 'mahesabu' ya Yanga TAKUKURU

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2018
Kaaya awasilisha 'mahesabu' ya Yanga TAKUKURU
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omary Kaaya amewasilisha nyaraka za mapato na matumizi ya klabu hiyo kati ya mwaka 2014 na 2016.

Hivi karibuni Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliiagiza klabu hiyo kuwasilisha taarifa ya mahesabu yake ya fedha katika kipindi hicho.

Miongoni mwa nyaraka zilizotakiwa na TAKUKURU ni pamoja na mikataba ya wachezaji, Mikataba ya Makampuni ya Udhamini (TBL na SportPesa), Taarifa za Mapato ya Uwanjani na Taarifa ya Fedha zilizotolewa na CAF katika kipindi hicho.

Hivi karibuni baadhi ya wadau wa klabu ya Yanga waliiomba TAKUKURU kuchunguza mwenendo wa michakato ya kifedha ya klabu hiyo baada ya timu kukumbwa na 'ukata' usiokuwa wa kawaida.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’