Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" inatarajia kuondoka Kesho Alhamis Septemba 6,2018 saa 7 mchana kuelekea nchini Uganda kwa mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza Afcon dhidi ya Uganda.
Msafara wa Stars utakuwa na wachezaji 23 pamoja na viongozi wa benchi la Ufundi.
KIKOSI KINACHOSAFIRI
Aishi Manula (Simba)
Salum Kimenya(Tz Prisons)
Frank Domayo(Azam FC)
Salum Kihimbwa(Mtibwa),
Kelvin Sabato(Mtibwa)
David Mwantika(Azam FC)
Ally Abdulkarim(Lipuli)
Mohamed Abdulrahiman (JKT Tanzania )
Beno Kakolanya (Young Africans)
Hassan Kessy (Nkana,Zambia)
Gadiel Michael (Young Africans)
Abdi Banda (Baroka,Afrika Kusini)
Aggrey Morris (Azam FC)
Andrew Vicent (Young Africans )
Himid Mao (Petrojet,Misri)
Mudathir Yahya (Azam FC)
Simon Msuva (Al Jadida,Morocco)
Rashid Mandawa (BDF,Botswana)
Farid Mussa (Tenerife,Hispania)
Mbwana Samatta (KRC Genk,Belgium)
Thomas Ulimwengu (Al Hilal,Sudan)
Shabani Chilunda (Tenerife,Hispania)
Yahya Zaydi (Azam FC)
Wengine ni Kocha Mkuu Emmanuel Amunike na wasaidizi wake Hemed Morocco na Emeka Amadi, Mtunza Vifaa Ally Ruvu na madaktari wawili Richard Yomba na Gilbert Kigadya.
Msafara wa Stars utakuwa na wachezaji 23 pamoja na viongozi wa benchi la Ufundi.
KIKOSI KINACHOSAFIRI
Aishi Manula (Simba)
Salum Kimenya(Tz Prisons)
Frank Domayo(Azam FC)
Salum Kihimbwa(Mtibwa),
Kelvin Sabato(Mtibwa)
David Mwantika(Azam FC)
Ally Abdulkarim(Lipuli)
Mohamed Abdulrahiman (JKT Tanzania )
Beno Kakolanya (Young Africans)
Hassan Kessy (Nkana,Zambia)
Gadiel Michael (Young Africans)
Abdi Banda (Baroka,Afrika Kusini)
Aggrey Morris (Azam FC)
Andrew Vicent (Young Africans )
Himid Mao (Petrojet,Misri)
Mudathir Yahya (Azam FC)
Simon Msuva (Al Jadida,Morocco)
Rashid Mandawa (BDF,Botswana)
Farid Mussa (Tenerife,Hispania)
Mbwana Samatta (KRC Genk,Belgium)
Thomas Ulimwengu (Al Hilal,Sudan)
Shabani Chilunda (Tenerife,Hispania)
Yahya Zaydi (Azam FC)
Wengine ni Kocha Mkuu Emmanuel Amunike na wasaidizi wake Hemed Morocco na Emeka Amadi, Mtunza Vifaa Ally Ruvu na madaktari wawili Richard Yomba na Gilbert Kigadya.
ADVERTISE HERE