Azam TV kurusha mbashara Yanga vs African Lyon

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Sep 2018
Azam TV kurusha mbashara Yanga vs African Lyon
Kikosi cha Yanga siku ya Jumapili, Septemba 09, 2018 kitashuka kwenye uwanja wa Taifa kucheza na African Lyon ikiwa ni mchezo wa kirafiki.

Runinga ya Azam imethibitisha kuwa itaonyesha mchezo huo mbashara kupitia Chaneli yake ya Azam Sport 2. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa 10 jioni.

Yanga imeendelea kujifua kwenye uwanja wa Chuo cha Polisi, Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na michezo ya ligi ambapo Septemba 16 itashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Stand United.

Habari njema kwa Yanga ni kurejea kwa baadhi ya wachezaji wake waliokuwa majeruhi, Heritier Makambo, Yusufu Mhilu, Juma Mahadhi na Juma Abdul. Pia wamo Amissi Tambwe na Thabani Kamusoko waliokuwa na matatizo ya kifamilia
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’