Watatu Yanga kuikosa African Lyon

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2018
Watatu Yanga kuikosa African Lyon
Keshokutwa Jumapili kikosi cha Yanga kitashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili African Lyon kwenye mchezo wa kirafiki maalum kwa ajili ya kupiga vita ujangili.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amewaambia waandishi wa habari leo kuwa timu yake itawakosa wachezaji watatu ambao ni majeruhi.

Walinzi Abdallah Shaibu 'Ninja' na Juma Abdul sambamba na kiungo mshambuliaji Juma Mahadhi wataukosa mchezo huo.

Ten ametaja viingilio katika mchezo huo utakaoanza Saa 10:00 jioni Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam vitakuwa Sh. 15, 000 kwa VIP A, Sh. 10,000 VIP B na Sh. 5,000 kwa mzunguko.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’