Meneja Simba afungiwa kwa kuihujumu Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2018
Meneja Simba afungiwa kwa kuihujumu Stars
Shirikisho la soka nchini (TFF) limetangaza kumfungia Meneja wa Simba Robert Richard kutojihusisha na soka kwa mwaka mmoja.

Richard pia amepigwa faini ya Tsh Milioni nne baada ya kupatikana na hatia ya kuihujumu timu ya Taifa.

Kulingana na taarifa iliyotolewa leo na Kamati ya Maadili ya TFF, Richard amepatikana kuwa na hatia kwa kushindwa kuwapa taarifa wachezaji wa Simba kujiunga na kambi ya Stars kwa wakati
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’