Tarehe kama ya leo alizaliwa kiungo, fundi wa mpira Ibrahim Ajib Migomba aliyetua Yanga msimu uliopita akitokea klabu ya Simba.
Ajib amekuwa sehemu ya mafanikio ya kikosi cha Yanga katika msimu wake wa kwanza na kutokana na kipaji chake anatabiriwa kuja kufanya mambo makubwa zaidi.
HAPPY BIRTHDAY IBRAHIM AJIB..

ADVERTISE HERE