Baada ya kusimama kwa wiki mbili kupisha michuano ya kimataifa, patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea wikiendi hii kwa michezo 10 kupigwa kupigwa katika viwanja mbalimbali huku saba ikirushwa mbashara na Azam TV.
Kesho Ijumaa, Septemba 14 michezo miwili inatarajiwa kupigwa ambapo saa nane mchana Mwadui FC itachuana na Azam FC huku saa kumi jioni African Lyon ikipepetana na Coastal Union.
Michezo mingine sita itapigwa Jumamosi kama inavyoonekana hapa chini;

Jumapili, Septemba 16 michezo miwili itapigwa pia ambapo saa nane mchana Mbeya City itachuana na Alliance huku saa kumi jioni Yanga ikichuana na Stand United.
Baadhi ya michezo ambayo itaonyeshwa mbashara na Azam TV;

ADVERTISE HERE