Jezi ya njano iliyotumiwa na Yanga kwenye mchezo dhidi ya Stand United jana huenda ikawa ndio jezi bora kabisa msimu huu miongoni mwa timu zinazoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara.
Kumekuwa na ukimya tangu uongozi wa klabu hiyo ueleze kuandaa mkakati wa kusimamia mauzo ya jezi.
Uzi huu ni mkali, kama mpango mzuri utaandaliwa, utaiingizia Yanga mapato ya kutosha.
Najua baada ya jezi hiyo kuonekana jana na kuwavutia wengi, siku si nyingi jezi feki zitajazana mitaani.
Hivyo ni vyema pia uongozi kuandaa kikosi kazi kitakachoshirikiana na Jeshi la Polisi kudhibiti hujuma hiyo inayoinyima klabu mapato.

ADVERTISE HERE