Yanga vs Singida United kupigwa usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Sep 2018
Yanga vs Singida United kupigwa usiku
Keshokutwa Jumapili, Septemba 23 2018 mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Yanga watashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Singida United katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa moja jioni.

Huo utakuwa mchezo wa nne kwa upande wa Yanga huku ukiwa ni mchezo wa mzunguuko wa sita kwa timu nyingine.

Yanga itakuwa inasaka rekodi na kuendeleza wimbi la ushindi katika mfululizo wa michezo yake inayopigwa kwenye dimba la Taifa.

Lakini inakutana na Singida United ambayo msimu uliopita ilifanikiwa kuizuia Yanga isipate ushindi kwenye michezo yote ya ligi huku pia ikiiondosha kwenye michuano ya kombe la FA.

Yanga imeendelea kujifua uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo huo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’