Makapu, Buswita na Haji Mwinyi waomba radhi, wasamehewa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Sep 2018
Makapu, Buswita na Haji Mwinyi waomba radhi, wasamehewa
Kocha ya Yanga Mwinyi Zahera amewasamehe Said Juma Makapu, Pius Buswita na Haji Mwinyi waliokuwa wamesimamishwa kutokana na utovu wa nidhamu.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga mapema leo, wachezaji hao wamepata msamaha baada ya kuomba radhi.

Leo walikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kilichofanya mazoezi uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Singida United.

Yondani kuikosa Singida United

Wakati huo huo nahodha wa kikosi cha Yanga Kelvin Yondani ataukosa mchezo wa keshokutwa dhidi ya Singida United kutokana na kufikisha kadi tatu za njano.

Wachezaji wengine ambao wataukosa mchezo huo kutokana na majeruhi ni Juma Mahadhi na Baruani Akilimali.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’